FT: Yanga SC 4-1 CFFA | CAFCL | Azam Complex | 1:00 Usiku

Huyu kocha NI tapeli utafika muda ukweli utajulikana huyu Jamaa Hana hadhi ya kufundisha Simba au Yanga ,wanayanga tunalijua Hilo sema tunajikaza Tu ila hatuna Imani na huyu coach
Hana hadhi ya kufundisha Tukuyu Stars, Ndada fc, yanga fc etc.. Simba usiitaje maana ipo kwenye rank za UEFA huko pamoja na akina Psg.
 
Kwa kushinda 6 dhidi ya de Agosto ndo mseme Mna hadhi ya juu,huna. Ata aibu umeshiriki CAF zaidi ya mara 5 umeishia robo fainal,Una kikombe Ata kimoja cha CAF confederations au champion??huna Ata aibu kolo wewe,mnarecord gani ya kuja kujivunia zaidi ya kufungwa na Yanga mara 5 mfululizo,huna cha kuongea chochote mbele ya Yanga sembuse CAF Kwa wanaume, shame on you
 
Mbona taarabu utafikiri khadija Koppa ft Nasma Hamis Kidogo
 
Ama kweli kipato huleta majivuno. 😃😃

Yaani mtu aliyekufunga miaka nenda rudi leo hii kisa umemfunga vigoli viwili basi umeshamdharau hadi basi. Lol
Wanachoshindwa kuelewa watani ni kwamba Yanga haiwezi kuwa kama Simba na Simba haiwezi kuwa kama Yanga.

Msimu huu mtani ameanza vizuri sana kutokana na ubora wa wachezaji walionao
 
Back
Top Bottom