The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,591
- 16,904
Yanga AfricaTimu yenu ipi Mkuu?
Yanga AfricaTimu yenu ipi Mkuu?
Mshaanza kuota majipu kwenye makwapaYanga hata tukicheza nao mechi 100 tunawapasua zote..
Hakuna kitu kama hicho mkuu. Labda kama upo kwenye mode ya utaniYanga hata tukicheza nao mechi 100 tunawapasua zote..
Lile la mchana lilipigwa makaburiniBomu mochwari
Watoto wanataka kupiga come back hawaTutawapiga 5 ilii wawe na adabu
Lile la mchana lilipigwa makaburini
Engineer naye anapaswa kujitafakari Sana, asijisahauhivi huyu zakwani na toure hawa wachezaji bwana injinia aliwaokota wapi?
Ukila na wewe kibali kuliwa kidogo 😆Mmedungunyuliwa na nyinyi...
Kabla hatujafika kwa kocha mm naona tuanzie kwanza kwenye aina ya wachezaji ambao kwa msimu wa pili huu bwana injinia amekuwa akiwasajili hapo yanga, viazi vimekuwa vingi kweli timu bado inabebwa na wachezaji wale wale wa siku zote akina maxi, abuya, mudathiri, job, bacca, boka, yao, diarra nk, injinia kawaondosha wachezaji wawili ambao kwa mimi kwa msimu jana nadhani ndo usajili pekee alopatia ambao ni Depu na Okello na tena wote waliingia dirisha dogo then kaenda kuleta ma watapleya wa kuchovya akina zakwani sijui toureHuyu kocha NI tapeli utafika muda ukweli utajulikana huyu Jamaa Hana hadhi ya kufundisha Simba au Yanga ,wanayanga tunalijua Hilo sema tunajikaza Tu ila hatuna Imani na huyu coach
Mashindano makubwa kama haya, umempiga mtu 5-0 kwake; marudiano umemchapa 4-1 halafu timu imejifia kivipi? Let's be serious basi.Mm yanga damu ila hii timu ishajifia
"Yanga Bingwa" - GSM.Uzi umepoa kama uji utieni catalyst Dombia uchangamke....