FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

Mimi naona hata Polisi Tanzania au Ruvu Shooting wangeweza kuondoka na ushindi mnono.

Timu haina viungo wanyumbulifu! Washambuliaji nao hawana maelewano! Mfumo wanaocheza haueleweki!!! Yaani kila mchezaji anacheza mpira wa bora liende!!
Tuendee kusifia mayele na inonga

Damage is done
 
Wachezaji wazito, control ball ni zero, hawana maamuzi ya haraka , wavivu kukaba , hawajitumi wapo wapo tu ilimradi mechi iishe waendelee na mambo yao

Kwa kifupi morali ipo chini mnooooo!! Sa sijui mama hajawaahidi mzigo?
Wamefanya nicashout mkeka wangu
 
Timu ina makocha kama 10 lakini wapii. Mi nashauri tungekuwa na timu ya taifa full time inayocheza ligi kuu. Niliwahi kutoa huu ushauri. Hii ya kukaa siku 3 kambini halafu mechi hatuiwezi.
Timu haina kocha hata mmoja.

Amnrouche alitimuliwa Kenya kwa kufungwa na Lesotho, na alitimuliwa Burundi pia, na alitimuliwa Botswana kwa kupigwa na Malawi.

hakuna kocha hapo.
 
Timu ina makocha kama 10 lakini wapii. Mi nashauri tungekuwa na timu ya taifa full time inayocheza ligi kuu. Niliwahi kutoa huu ushauri. Hii ya kukaa siku 3 kambini halafu mechi hatuiwezi.
Icheze ligi gani? hii kitu usha wahi iona wapi?
 
Timu haina kocha hata mmoja.

Amnrouche alitimuliwa Kenya kwa kufungwa na Lesotho, na alitimuliwa Burundi pia, na alitimuliwa Botswana kwa kupigwa na Malawi.

hakuna kocha hapo.
[emoji23][emoji23]kocha kutimuliwa ni kawaida
 
Tungefungwa kwenye hii kona ingekuwa uzembe
 
Ligi Yetu Inabebwa na Wachezaji Wa Nje. Tofauti na Hapo sisi ni sawa na Kenya Tuu. Linapokuja Suala la Timu Ya Taifa Uganda na Kenya Wanafanya vizuri kuliko Sisi
Kwnn na Sisi tusiuze wachezaji nje ili waikomboe timu ya Taifa
 
Tuwape uraia Mayele na Musonda wchukue nafasi za Mbwana Samatta na Simon Msuva; Samatta na Msuva muda wao umekwisha; mpira ni mchezo wa umri. Walilitumikia Taifa vizuri sana enzi zao.
 
Back
Top Bottom