FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Huyu Saidoo ni moja kati ya wachezaji ambao huwa wanaua sana moves za Simba Sc, ila sijui kocha huwa anaona nini kwa huyu jamaa.

Kwa style hii kocha ataua vipaji vya wachezaji wengi kwa benchi, kuna kila dalili za kikosi "KAUKA NIKAVE" kama msimu uliopita.
 
Mbona sisi tupo live uwanjani afu mnachokiandika hatukioni mbona mnadanganya watu mitandaoni? shoo ya kawaida sana mara mseme alikiba sjui kaweje mara sjui ubunifu! upi sasa

Tupo uwanjani live acheni mhemko uongo uongo tu

Utakuwa upo uwanja wa FISI na sio Lupaso
 
Back
Top Bottom