ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
- Thread starter
- #101
Sakho Anachezewa Mazambi hapa na Referee kapetaaa
Hivi yanga wanajisikiaje wakimuona sakho ?? [emoji23]
Ila Replay ya Azam ni mbaya sana, magoli matamu ila kutokana na ubovu reply unashindwa kuburudika.
Simba 2??Dakika ya 23 Simba 2 Namungo 0
Usiwafanyie hivyo basi mkuu [emoji23][emoji23]Dakika ya 23 Simba 2 Namungo 0
Tunaomba na goli mkuuAmbao hamko karibu na screen Hii ndio kona waliyotukosa namungo
View attachment 2076224
Kwani unafikiri nimefanya kwa makusudi ebu ngoja nibadiliUsiwafanyie hivyo basi mkuu [emoji23][emoji23]