FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

1711744564730.png


Stats nzuri sana za Simba mbele ya mabingwa wa Africa... yenye wachezaji 7 wa Timu ya Taifa ya Misri, 2 wa Tunisia, 1 wa South Africa bila kumsahahu Modeste aliyetokea Borussia Dortmund ya Ujerumani.
 
Kapombe leo amezidiwa mbinu, uzuri wa kapombe anatoa pasi accuracy israel anasipidi japo anaweza kuigharimu timu kwa kufanya madhambi kwa mchezaji.

onana punguza ubishoo
Ngoma mipira yako leo haikueleweka
Yule back hakutakiwa kuanza, bali mzamiru
Sijajua sababu ya kumtoa kanuti? Why?

Mechi inayokuja mfie uwanjani japo shughuri ni pevu
 
Yaliyopita yamepita, tuangalie ya mbeleni haya kibarua chetu ni hapo kesho tukimkaangiza maswanda (masandawana)

Kwa kupindua meza kule Cairo sidhani, japo mpira una mengi

Poleni watani
 
Back
Top Bottom