Mbona kama una jitetea au tuwa ongeze msumari wa 3Sawa, lakini dhidi ya timu ambayo haina fitness, iliyofungwa na timu zote za Rwanda

































































































Unacheka huku unalia...Haaaaa haaaa
Lakini si tulikubaliana tangu mwanzo ya kwamba timu za Kiarabu ni ngumu!!! Au tubadili huu mtazamo kuanzia sasa!!Sawa, lakini dhidi ya timu ambayo haina fitness, iliyofungwa na timu zote za Rwanda
Dah ! Inawezekana maneno ya GENTA yana ukweliMtu wa maana tuliesajili ndio huyo karogwa. Daah


Kafungwa kizembe sana.amekaa kama gogo golini.Au wameshampiga misumari.Kipa hakuna aisee
Siwezi kuumia kwa uzembe wa makusudi wa wajinga wachacheUnacheka huku unalia...
Siwezi kuumia kwa uzembe wa makusudi wa wajinga wachacheUnacheka huku unalia...
Wanahamisha goliLakini si tulikubaliana tangu mwanzo ya kwamba timu za Kiarabu ni ngumu!!! Au tubadili huu mtazamo kuanzia sasa!!