Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,301
Mbona sio mapya kwetu?? Kwani ni mara ngapi tumewafunga hao wazambiaYanga wakiwa ugenini matokeo mpaka sasa ni 0-2!! Ndiyo uone tofauti sasa.
Mbona sio mapya kwetu?? Kwani ni mara ngapi tumewafunga hao wazambiaYanga wakiwa ugenini matokeo mpaka sasa ni 0-2!! Ndiyo uone tofauti sasa.
Weee kalapina wee pira penatiTulia...
ngoja tusubiri.Hii haitabadilisha kitu.
Simba tutavuka hii hatua
Wee keisha tulia mpira huu huu mnaujua nyie mnavyokandwagwa..Weee kalapina wee pira penati
Nikireport toka CONGO
KawaidaSiku mbaya kwa Mnyama
Ushasikia wapi kipa anaitwa Ayubu,,,Ayubu alikua nabii leo hii ukamuke golikipa wapi na wapi!Huyu kipa wa simba ni mnyaturu au mrangi wa kondoa
Huu mchezo hauhitaji hasira.Nenda kwenye liuzi la vyura sasa ukakorome. Si mnaongoza?
Sawa, lakini dhidi ya timu ambayo haina fitness, iliyofungwa na timu zote za RwandaYanga wakiwa ugenini matokeo mpaka sasa ni 0-2!! Ndiyo uone tofauti sasa.
Mtani huu mchezo hautaki hasira. Calm down 🙌Nenda kwenye liuzi la vyura sasa ukakorome. Si mnaongoza?