FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Ukisema hawajitumi sidhani kama ni sahihi. Kwa uharaka unaona miili ya wachezaji imekosa 'Sharpness' kwa kukosa mechi za kimashindano muda mrefu.
Lakini, naamini hii mechi Simba anapata matokeo.
Tuseme basi ndio aina ya ucheziji wa simba kwa sasa, Hawana kasi na kupoteza mipira ndio jadi
 
Usajiri uko vizuri tatizo la Simba ni kocha, Simba haina kocha mwenye mbinu uyu mzee hawezi kuifikisha Simba popote,na kwa mpira huu safari ya Simba imeishia hapa.
 
Tupeni kikosi nikile kile?.Kibu aachwe ana kitu yy ndo anajitahidi kufikisha mipira golini
 
Ni
kweli mshalambwa mkia tayari au ubuyu wa Tandika huu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…