FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Nimeangalia Goli La Simba Katika Marejeo Ya Picha. Tuachane na Mpira Kutoka, Ila Kanoute Amechoka, Kuanzia Move Inapotengenezwa Hadi Goli Linapo Fungwa Yupo na Anaenda Tuu anaangalia Enzi zile Kanoute Hata Kabla Pass haijatolewa anagekuwa ameshalala na Yule Jamaa

Hili Goli Kanout baada ya Kuona Onana Kaanguka Alitakiwa kuziba nafasi Harakaaaa, Basi kachelewa lakini kamkuta Jamaa na Kamsindikiza Hadi anatoa Pass
Mpira ulikuwa umetoka. Wachezaji wa simba kama wangelalamika fasta, refa angelazimika kuangalia VAR na goli lisingekubaliwa. Simba walipigwa na bumbuazi, na kwa kawaida kama waliofungwa hawalalamiki refa naye anaminya!!
 
Back
Top Bottom