ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Nimeangalia Goli alilo fungwa Simba Katika Marejeo Ya Picha. Tuachane na Mpira Kutoka, Ila Kanoute Amechoka, Kuanzia Move Inapotengenezwa Hadi Goli Linapo Fungwa Yupo na Anaenda Tuu anaangalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Enzi zile Kanoute Hata Kabla Pass haijatolewa anagekuwa ameshalala na Yule Jamaa
Hili Goli Kanout baada ya Kuona Onana Kaanguka Alitakiwa kuziba nafasi Harakaaaa, Basi kachelewa lakini kamkuta Jamaa na Kamsindikiza Hadi anatoa Pass [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hili Goli Kanout baada ya Kuona Onana Kaanguka Alitakiwa kuziba nafasi Harakaaaa, Basi kachelewa lakini kamkuta Jamaa na Kamsindikiza Hadi anatoa Pass [emoji2297][emoji2297][emoji2297]