Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,359
- 18,639
Nguvu mbili: ya Mangungu na ya MagoriNguvu moja
Au sioNguvu mbili: ya Mangungu na ya Magori
Mfano hapo kwenye kikosi, wamepanga nani acheze na nani asicheze?Simba bila kuwaondoa mo na chawa wake isahau ubingwa, wanapanga mpaka nani acheze na nani asicheze
Mpaka sasa ni 2-0 simba inaongoza. Pamba labda wakate viuno tu.Pamba Fc mkiamua mnaweza kushikilia bomba mpaka dakika ya 90. Kila la heri kwenu.
Doumbia ameanza?Mpaka sasa ni 2-0 simba inaongoza. Pamba labda wakate viuno tu.
Ball limesimama muda mrefu, ibrahim jabaar anakula umeme baada ya refa kwenda kwenye VAR YA MCHONGO.
Bado hamjasema, si mmezoea kubebwaHuyu Jabaa r ni mpumbavu. Kwamba hawaelewi kuna vs
Amekosa weledi kabisa...ameigharimu Simba SC. Nashon au Kagoma mmojawapo namuona akiingia kipindi cha pili.Huyu Jabaa r ni mpumbavu. Kwamba hawaelewi kuna vs
Wapi tulibebwaBado hamjasema, si mmezoea kubebwa