FT Nigeria 2-1 Tanzania| AFCON 2025| Group Stage| Group C| Match 1 of 3|

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
604
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.

Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda.
IMG_3357.jpeg
 
Enyi Nigeria. Pigeni haya matakataka ya Tanzania, muyapige nyingi mpaka ya changanyikiwe.

Naichukia mno Tanzania.
Mpumbavu wewe...baba zako wangeichukia nchi wewe ungekua umekalisha mapumbu saivi ukiwa na amani...SHENZI kabisa
 
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.

Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda.
View attachment 3519672
WAPIGWE TU HAMNA NAMNA
 
Safi chama làngu nigeria
 
Back
Top Bottom