Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 8,689
- 25,913
Salaam Tanzania na duniani kote!
Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE (NBC), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye katika uwanja wa Uhuru Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni kupepetana na dodoma jiji
Mchezo huo utarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika tishini ambapo Dodoma jiji wakitaka kuendeleza ushindi huku kwa upande wao Simba SC wakizisaka alama tatu muhimu ili kuweza kuweza kuongoza ligi
Kulitaka mwana, kulipewa mwana
Wanasimba na mdau wa kabumbu popote ulipo shuhudia hii Show ya Hatari kuanzia saa 10: 00 JIONI
live AZAM SPORTS 1 HD kutoka kwa Simba SC, ya nguvu moja yenye viwango vinavyoeleweka