FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup | Simba SC Vs Azam FC | 1- 0 Uwanja wa Maji Maji

Kwa Marefa wa namna hii ndio tutegemee tutapiga hatua katika soka!! Mambo ya aibu Sana katika mpira wetu. Yaani refa ana simamisha mpira, anaongea na wachezaji, timu nyingine Ina anzisha mpira infunga goli anaweka Kati.
 
Hahaha we jamaa utopolo itakuua niwapi refa alisimamisha mpira!!!
Refa akishapiga filimbi ya faul maana yake mpira umesimama, na kitendo Cha kuongea na wachezaji wa Azam wakati wanaweka ukuta maanayake mpira haupo mchezoni.
 
Kwa Marefa wa namna hii ndio tutegemee tutapiga hatua katika soka!! Mambo ya aibu Sana katika mpira wetu. Yaani refa ana simamisha mpira, anaongea na wachezaji, timu nyingine Ina anzisha mpira infunga goli anaweka Kati.
Huyu refa atakuwa ni Mjumbe wa Kamati kuu ya ccm bila shaka! Yaani ameipa Simba ushindi kwa bao la mkono!! 😁😁
 
Refa akishapiga filimbi ya faul maana yake mpira umesimama, na kitendo Cha kuongea na wachezaji wa Azam wakati wanaweka ukuta maanayake mpira haupo mchezoni.
Hujui kitu,kwanini wachezaji huwa wanasimama mbele ya mpira mara faul inapotokea?Au unadhani huwa wanajikuta tu?
 
Back
Top Bottom