Ihefu, sisi sio milima. Tutakutana

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,211
68,563
Nianze kwa kutoa pole kwa wanayanga wenzengu, tuyapokee matokeo ndivyo mpira wa miguu ulivyo.

Mechi ya leo ya Ihefu vs Yanga inaingia kwenye list ya mechi zilizoniumiza kwenye mpira wa miguu, kipindi cha pili kilikua kichungu mno kwangu. Nilikua nimezungukwa na makolo sio pungufu ya 8, ilikua tabu kweli kweli.

Football ina matokeo matatu, binafsi nimeyapokea matokeo kwa maumivu makali mno. Kilichoniumiza zaidi ni kwanini iwe ni IHEFU FC ya Highland estate?

Naiombea izidi kusalia ligi kuu na ikipendeza turudi uwanja ule ule kwa mara nyingine.

Ihefu sisi sio milima tutakutana (in alikiba voice)
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Chura kakwama kuogelea kwenye majaruba ya Ubaruku.Mlituambia hamtakiwi kuwa NBC PL mnahamia Hispania.Muhamie sasa!
 
Usituchoshe, mmepigwa pale pale
Ndio mpira mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Chura kakwama kuogelea kwenye majaruba ya Ubaruku.Mlituambia hamtakiwi kuwa NBC PL mnahamia Hispania.Muhamie sasa!
Huu ni uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom