FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
11,858
Reaction score
36,538
Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni

kwa mkapa hatoki mtu

Screenshot_20260131-220621~2.jpg

All the best Mnyama 🦁
#nguvu Moja💪
 
Ila CAF Champion League Mwaka huu ni ngumu kwa timu nyingi sana. Matokeo ya droo yametawala sana mashindano haya. Kwenye hii chati unaona jinsi rangi ya chungwa ilivyotawala ingawa kuna timu moja tu ina nyekundu tatu haina chungwa wala kijani.

1769884642125.png
 
View attachment 3537115
hio timu yenye nyekundu tatu kesho inaenda kupata rangi ya kijani moja
 
Back
Top Bottom