FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

Me nakanusha unavyosema kuwa wanaolalamika ni mashabiki maandazi

Kwa mfano hizo timu ulizozitaja Liverpool,Chelsea na nyinginezo zote mashabiki wake kindakindaki wanalalamika

Njoo uchukue mfano halisi jinsi mashabiki wa Manchester United wanavyopiga kelele glazer waachie timu yao hiko ndicho kinatokea kwa Simba mashabiki wanaona kuwa uongozi ndiyo kiini cha matatizo Kwahiyo wanataka ubadilishwe

Kwahiyo ni jambo la kawaida mashabiki kupiga kelel duniani kote
Bwana acheni ushabiki maandazi, hakuna timu duniani imewahi kuwa kwenye form siku zote na haitakaa itokee asilani.

Eti mnashangaa leo Simba haifanyi vizuri hata hamfahamu kwamba hii Simba kwenye miaka ya themanini ilikuwa kabisa inashuka daraja kwenye ligi hadi ikaokolewa na Yanga tena sio mara moja lakini mbona ilitoka hapo na kuzinduka.

Acheni ushamba nyie vijana.
 
Back
Top Bottom