MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 778
- 1,607
Walimuumiza Pacome alafu wakacheza kijanja janja tu hamna kitu haoHivi ilikuwaje wakawatandika Uto?
Walimuumiza Pacome alafu wakacheza kijanja janja tu hamna kitu haoHivi ilikuwaje wakawatandika Uto?
Mara Fred mara DuchuDuchu
Amen#nguvumoja#
Yani awa wajinga mi nilitaka wapigwe yani wapigweeFei totooooooo 🤣🤣🤣
Wajinga wameliwa Safi
Walituumizia Pacome awa
Sio, we pambana na arajiga wakoFred
Jamaa Ni MTUStriker letu la dirisha dogo
Afu huyu jamaa kamzidi Musonda na Mzize kwa idadi ya magoli
Ni duchuMara Fred mara Duchu
Anyway cha msingi hizo goli zipo upande wetu
FredMara Fred mara Duchu
Anyway cha msingi hizo goli zipo upande wetu
ndio maana aliwapga nyie vibonde wenzieAzam ni kibonde
Leo hizi tatu utachachuka Sanaa 🤣🤣🤣Qumamaqeeeeeeeeeee leo sijui mashabiki wa uto wataambia nn watu.
Arajigaaaa malizaaa mpiraaaaaaa,
Sisi ni ndugu 😂😂🙌Umeuaaa
Fred kagonga mwambaFred