MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 808
- 1,702
Azam wajikite kwenye kuuza ukwaju mbwa hawa
NgomaNani kafunga?
Na Yanga tuwaite nani?Azam ni wapumbavu
Azam ni wapumbavu
Ulijifichia wapi mtani🤣Mamboo Yako. POAAAAAAAAA....
Simba ya Mgunda Huwa Yamotoooooooo sana
Kujificha Lazma maana kwa simba hii Unaweza ukalala Na Viatu 🤣🤣🤣🤣Ulijifichia wapi mtani🤣
Mnoo Yani 😏Azam ni wapumbavu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtibwa 1 - 1 Yanga.
Dodoma Jiji 1 - 0 Yanga
Yanga 1 - 1 Tabora United
Yanga 0 - 1 Tanzania Prison. =70 points
Azam 1-2 Simba.
All other 4 games Azam win.= 69 Points.
All other 5 games Simba Win. = 71 Points. (Bingwaaaa)
In football Impossible is possible.
Now ni mwendo wa mbiliI told you.
I told you
Niliwaambia hapa 🤣🤣🤣🤣
Ukiwa uwanjani sio rahisi uone offside. Labda uwe umekaa kwenye angle sahihi. Wa kwenye luninga ndio wanaona kwa usahihi.Niko Uwanjani jombaa
Azam ni wapumbavu
Mzee Nimekuambia Ubingwa ni Wa Simba Ukabisha..I told you.
I told you
Niliwaambia hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeamini Gwadiola mnene ndie huwa anaigharimu simba kukiwa na kocha mwingine.Rahaaaaaaaaa