Frozen french frice

Frozen french frice

fatou46

Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
72
Reaction score
51
Habari zenu wanajamii..mi nimjasiliamali nakaribia kuaza kupack frozen French fries plz nilikuwa naomba mnisaidia nawez pata wapi masoko. Asanteni
Nawakilisha
 
icoderz ni viazi vya chips. ..kama vili vinavyouzwa super market
 
Last edited by a moderator:
aha ok mkuu kumbe unamaanisha french fries. Kwa kweli sijui soko lake likwapi ngoja tuwasubiri wataalam. Maana humu jamvini ukosi ufumbuzi. Goodluck
 
Soko lake hasa ni supermarkets na mahotelini. Pia ukiwa na connection na watu wa Steers, Bongo Flava,Marry Brown na KFC unaweza kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kutengeneza faida coz kwa sasa ni kampuni moja tu inayo supply kote huko.
 
deus F Mally thnx myn kwa mchango wako ntajitahidi kufatilia nijue whts real needed to get da chance
 
Last edited by a moderator:
deus F Mally thnx myn kwa mchango wako ntajitahidi kufatilia nijue whts real needed to get da chance

Pleasure, ukikwama nijulishe tuone namna ya kupata japo soko moja.

Goodluck
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wanajamii..mi nimjasiliamali nakaribia kuaza kupack frozen French fries plz nilikuwa naomba mnisaidia nawez pata wapi masoko. Asanteni
Nawakilisha

Kwahiyo mkuu ulianza biashara bila kujua soko? Ulijuaje kama italipa sasa? Kweli ulijitoa muhanga aisee.Anyways mimi nikutakie kila la kheri na nitakutafuta kujua mrejesho maana nilikuwa na wazo kama lako ila angalizo pia,kabla hujawafuata hao wateja wakina steers,KFC na wengine inabidi ujipange kiusafi kwenye kiwanda chako sababu lazima watataka waje kukagua usafi.

All the best
 
Sikuanza bila kuja cz kama nilivyolocate hapo juu kusema kama kweny supermarkets inamanisha hilo nisoko pia was needed some other ideas. ..nyway thnx mine hp nitafika pole pole ndio mwendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom