From the green world to a black world

mkuu haya mambo ni mazito sana wanaoweza kuhoji haya mambo wanazidi kupungua daily kwa sababu mwanadamu amekuwa subjected kwenye illusion inayoua sense of perfectness....

Illusion inatawala reality....
Mbaya zaidi uwezo wa kuview things katika dimension kubwa unapungua kwa kasi huku neurones zinazohusika na cognition awarenss katika divine intelligence zinakufa kwa kasi ya ajabu ...

Kuna mpango mkubwa sana kwa kuua switch genes zinazomconnect mwanadamu na higher intelligence divine matrix....

Tunabaki kama Artifial created beings ambao hatuwezi tukahoji mamlaka za juu zikatueleza hata hatima( Fate) yetu...

We are just miandeling here and there kufurahia mageuzi ya kitechnologia lakini yanatuathiri kwa kasi sana...

Week iliyopita huko dubai wamezindua new Cinemas ambayo inaonesha katika 5D na 7D manake nini ,unachokuwa unakitazama kwenye screen kitakuwa kinatoka nje ya screen kuinteract na sense of awareness yako...yani kama mtu kipigwa mshale tumboni huo mshale utakuwa unatokeza outside screen yani kama ni uoga basi uwe nao kama anavyoupata yule anayefanyiwa tukio...daaaah...imenishangaza sana technology ile...


Technolojia hiyo itakuwa na uwezo wa kubadilisha mfumo wako wa hafamu kwa kasi kubwa sana ,tutakuwa subjected kwenye fear na anger kubwa sana ukiwa kwenye CINEMAX hall.

Utakuwa na uwezo wa kufeel anger,pleusere ,happness,saddness na kila ina ya hali ambayo inakuwa portrayed kwenye cinema show....

Viti(seat) ambazo unakuwa unakalia mule ndani vimeunganishwa na computer screen ambayo kila tukio linalotokea kwenye show ( screen) utakuwa unalipokea moja kwa moja kupitia electrical impulse signal ambazo zimeconnectiwa na kiti au siti yako hence kuinteract na impulse za mwili wako na unajikuta upo kwenye movie na wew wakati ni mtazamaji ..

Hiyo yote ni kuharibu gene ambazo zinakuconnect na higher divine matrix katika higher centres lakini uwezo huo unaenda kudumazwa haraka sana...

tutakuwa connected worldly or globally wote kwa pamoja kutokana na technolojia hizo ambapo watakuwa na uwezo wa kukuweka kwenye mazingira ya fear na condition wanayoitaka wao...

hiyo ni 7D view je hiyo 15D view ambayo itazinduliwa miaka 3 ijayo itakuwaje...??

si ndo itakuwa na uwezo wa kumanipulate mind yako kabsaa ...!!

lets keep waiting and enjoy the movement


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu utashi unapelekea Mimi kujua kuna namna mambo yanaweza kuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wako unaweza kuwa sawa, who knows. Ila jiulize kwa nini jambo unaloliona kwako ni potofu kwa mwingine ni sawa? Utashi...
Hatuwezi kufanya [hata] jambo moja bila utashi wetu. Wakati tunapoamka asubuhi mpaka tunapoenda kulala usiku, tunaendelea daima kutumia utashi wetu kufanya maamuzi. Kwa hiyo tunaweza kuanza kuona kwamba maisha yetu yamejengwa kwa uchaguzi tofauti na matendo ambayo tunayafanya...
 
Nimekuelewa sana ila haiwezakani maana kila kiumbe ana mtazamo wake .

Ni kipi kinachoweza kuunganisha imani na matendo?
Umeelewa nilicho kiandika mzee ?

Una elewa nini unapoambiwa "....yanatakiwa kuwa sawa ...." ?

Kama hujaelewa uliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi kinaweza kikatujenga mtazamo mmoja ili wote tutafautishe kilichosawa na kisichosawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ya kupichu pichu itakua tamu sana[emoji14][emoji18][emoji23][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu ya kupichu pichu itakua tamu sana[emoji14][emoji18][emoji23][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
utakuwa unasogezewa kitu karibu kabsaaa....wale jamaaa ni noma...

kila siku nasema Neural scientists wanasiri kubwa sana...

washamaliza kustudy ubongo wote ila hawataki kusema na kuweka mambo wazi...

Ni ngumu snaa kuunganisha mind ya mwanadamu na mashine but they have made it....

Na tusubiri kuona makubwa sana mkuu...

Ila nataka niende Dubai nikaone 7D mkuu kama itaniathiri[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana ila haiwezakani maana kila kiumbe ana mtazamo wake .

Niliposema "...yanatakiwa kuwa sawa ....". Nili maanisha nyuma au kuna njia maalumu bazo kila binadamu anatakiwa kuzifata ili kufikia lengo hapa namaanisha kufata sheria.

Nakupa mfano wa kilimwengu.

"Ina takiwa gari likifika katika Zebra lisimame" . Hapa namaanisha kila muendesha gari anatakiwa akifika kwenye zebra asimame,hii ni kwa ajili ya usalama wa pande mbili,ya usalama wa wavukaji na muendesha kipando. Kinyume na hayo tunasema umekiuka sheria.

Hivi ndivyo nilivyo maanisha mimi je umeelewa hivi ?
 
Am a neural scientist also sir

#baba swalehe , but still studying

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi kinaweza kikatujenga mtazamo mmoja ili wote tutafautishe kilichosawa na kisichosawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa maandiko [Biblia], jambo hili haliwezekani kwani kila mmoja amepewa haki na uhuru wa kuchagua au kukataa jambo. Kila mtu anao uwezo wa ndani wa kukubali na kutii, au kukataa na kuasi. Hii imeanza tangu kuumbwa kwa mtu wa kwanza [Adam], waliumbwa na Mungu na kupewa uwezo huu wa hiari ya kuchagua...
 
Artificial intelligence itatawala dunia sisi tutakuwa wajinga machines zitakuwa very brilliant,hatutoweza Fanya chochote bila msaada wa robots and CGI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Artificial intelligence itatawala dunia sisi tutakuwa wajinga machines zitakuwa very brilliant,hatutoweza Fanya chochote bila msaada wa robots and CGI

Sent using Jamii Forums mobile app
thats true....human mind inaenda kusynchronize na mashine....

Kama tulivyoona huko Tokyo Japan kuwa tayari wanatengenezwa mainjinia ambao wamepandikizwa neural directive devices ambazo zinamwongoza kuelekeza watu namna ya kujenga tower na majengo makubwa yenye construction tata zaidi...

Any way wanaonekana binadamu na ngozi zao lakini mindly not....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huoni hapo watu wako tofauti kimtazamo ndo maana umeamua Kuwaita,kuwapa sheria na hatimaye kujenga mfumo ambao wote wawili wataufata,je bila kuweka mfumo huoni wanadamu kila mmoja anawaza lake liwe vipi .INSHORT hatupo sawa ila tunakaa meza moja kujenga mfumo ambao utatufanya tuishi sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…