Unajua nimetoka kule....nimecheka sana.
Ikabidi tu nirudi.
Jamaniiiii......hahahhahahah
Watu mna maneno khaaaa!!!!!
Sitaki hata kurudi maana waja nawajua
angevaa mlegezo je😛Hii jeans 👖 yako imekaa kiuchokozi but cool
Hongera sana mdogowangu Madame BKwako Mung Chris kipenzi cha moyo wangu na tiba ya maradhi yangu sugu.
Ni siku, wiki, na hatimaye imetimu miezi mitatu tangu tuanze safari ya penzi letu tamu na lisilochuja hapa duniani tulilolianzisha hapa Jamii forums tarehe kama ya leo.
Na pia nakumbuka jinsi tulivyosumbuana hapa Jamii Forums kule Pm kila siku.
Usijali....(ile ilikuwa mitego yangu kukupima kiasi cha upendo wangu kwako).
Hakika sikutaraji kama nitaweza kupata mwenza wa kuweza kunituliza na kufanya niweze kuwa kiumbe kipya katika safari hii ya penzi tamu.
Sijutii kukupenda
Sijutii uamuzi wangu
Sijutii kuchaguliwa na wewe
Sijutii vile binadamu wanasema nini kunihusu mimi au wewe.
Ila kwangu utabaki kuwa mpenzi na baba bora wa mtoto wetu mtarajiwa.
Natamani nimalize hii ng'we salama ili niweze kupakata katoto kako kalikochanganya damu ya Kisambaa na Kichaga.
Nakupenda leo
Nitakupenda kesho na
Nitakupenda milele daima.
Labda mmoja wetu afariki.
Kila mmoja ana mapungufu yake, hakuna aliyekamilika kwa 100%
Kama kuna sehemu naendelea kukukosea naomba uwe muwazi na uniambie ukweli.
Hatuhitaji kuishia njiani.
Asante kaka mkuu Maxence Melo kwa kuanzisha mtandao huu kwani kwa namna moja ama nyingine imechangia mimi kumpata mwenza wangu Mung Chris.
Pia natoa rai kwa wale tuliokuwa tunasumbuana Pm,
Nimetwaliwa....natawaliwa.
Nagharamiwa sasa hv.
Ila baba Mung Chris punguza wivu, wabantu wa mizigo ndio asili yetu.
Utagombana na wangapi baba?
Cha muhimu ni kutunza heshima ya penzi na pendo letu.
Ila nami itabidi nipunguze manjonjo....kha!!!!
Nakupenda sana.
Can't wait kuvaa ring...
Soon najua inakuja.
I love you, no matter how and what!!!
Madame B.
2018
Ntafurahi sana mambo yakiwa mazuri always. Nawaombea wepesi katika safari yenu zingatia sana kutumia neno samahani na asante katika siku zote za maisha yenu bila kusahau kuwa na moyo wa subira na uvumilivu katika nyakati zote.Asante sana Extrovert.
Usijali, tumeshajuana na tunafit kila mahala.
Kwahilo sitawaangusha watu wa humu.
Asante sana na hutasikia lolote baya toka kwetu.
Usijali.Ntafurahi sana mambo yakiwa mazuri always. Nawaombea wepesi katika safari yenu zingatia sana kutumia neno samahani na asante katika siku zote za maisha yenu bila kusahau kuwa na moyo wa subira na uvumilivu katika nyakati zote.
HahahahahHongera sana mdogowangu Madame B
Mung Chris ni kaka mzuri - VERIFIED!
Karibuni chamani wapendwa
Mniletee kadi Pm au whatsapp nitawachangia michango yote
Nikiwepo Tz nitahudhuria kama nitaalikwa!
I wish u all nothing but the best
LOVE IS A GOOD THING - Muhimu ni Kuvumiliana
PS:
Kitchen Party Kungwi nakuletea bure ukitaka!
Mmebakia Smart911 na wifi mahondaw nasubiri KADI ABI!?
Honey Njoo tuwachangie wapendwa wetu 50thebe
Madam, mzima?le madam herself.... jeshi ya mutu mmoja!hongera sana kwakweli! raha ya mapenzi bwana... upetiwe petiwe😕
mzima!u?Madam, mzima?
Sasa kwakua umepata kiboko yako haunifundishi tena ile kitu nami nimnogeshe shemeji ako?Mie kitasa, yeye ufunguo.
Kitasa kimepata ufunguo.
Asante shost mwaya.
Maana kwa hali ile kumpata wa kunivumilia makasheshe yangu hapa jukwaani isingewezekena.
Ila jamaa ndo kajitosa mzimamzima na maisha yanasonga kabisa.
Asante kipenzi.
Wewe nitakuweka kamati ya michango ya harusi pale January.
Mie mzima pia asee. Habari za ulipo ww?mzima!u?
aMie mzima pia asee. Habari za ulipo ww?
aMie mzima pia asee. Habari za ulipo ww?