Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Hahahhah
Jamaniiii
Mung Chris wangu mpole sana.
Japo anaambiwa hataniweza, ila nina imani ataniweza tu maana mwanamke ana uleaji wake
Sie tutadumu....tutawaletea vijukuu tu mlee maana hapa nahisi kama nina mapacha.
Nitalea mpaka nichanganyikiwe
Kabisa mkuu nawaombea mdumu katika mahusiano yenu.Kabisa mkuu.
Hii mitandano ya kijamii ikitumiwa vyema, huleta matokea chanya kama haya.
Japo wapo wanaopenda yaende (-) ila Mungu ndo ameshapanga
Sawasawa.akiamua atakuweza! usiache kumwambia unapenda ufanyiwe vitu gan uhusiano wenu udumu! wanawake tuna kawaida ya kususa!men anajisahau majukumu yake bas sisi tunazira tunagekuia kwa wengne!arghhh mby sanasana!
Sawasawa.
Kuzira kupo ila kuwe na sababu ila kwa sababu inayotatulika, sidhani.
Tulishakaa chini na tukaongea.
Si unajua tena unapoamua jambo.
Ila huyu naona kama barabara yake imenyooka kwangu.
Sioni vigingi mbele, labda kama anaficha makucha ili ayatoee mbele ya safari.
Ila sidhani.
Cha muhimu wote sie ni watu wazima, kila mtu kapitia changamoto za maisha.
Hivo tunapoamua kukaa na kuanzisha jambo, basi ujue hakuna ambalo litamshinda mwenzake.
Haya, nawe shem hajambo...(huu sasa umbeaπ)
Chaaaahhahhhahha eti unaona barabara yake imenyooka!lol! shem hajambo aisee!anataka kusafiri.... naona kama masaa yanarudi nyumaπππππ anasafiri nxt week ila had mswaki nishaupack ππ!.....NIOMBEEπππππ
Chaaaa
Asa wiki ijayo wapack leo..si uu-pack alfajiri, jamaniii.
Nakuombea mwaya, ataenda na kurudi salama.
Sometime ukijifanya bandidu, unaweza ishi na laptop yako tu.
Hahhahahah
Heheheeeeeee......we umetokea wapi asubuhi hii?Wewe Madame B mumeo uliyefunga nae ndoa mliachana lini mpaka leo unamtangaza mwingine tena humu ndani? Ama kweli dunia imejaa vituko
HongeraNakupenda sana.
Can't wait kuvaa ring...
Soon najua inakuja.
I love you, no matter how and what!!!
@Madame B.
2018
Maisha ya maigizo na sanaa hayawezi kuisha humu wajinga ndio waliowao kila la heri na sanaa zako!! Kick at work!Heheheeeeeee......we umetokea wapi asubuhi hii?
Kwani watu hawaachani, au hawafariki?
Kwani binadamu wanaishi milele?
Mung Chris anajua kila kitu na ndio maana kasema ewalaaaa maisha yaendelee.
Asante kwa kunikumbusha niliyokuwa nimesahau.
Hahahahah.....eti uliposahau miwani.Haya na mimi nataka mzee mwenzangu tunyooshane viuno na wakunikumbusha niliposahau miwani yangu....
πππππππππππ,,....
Kila la kheri mpwa Madam B na Mung Chriss
( kama ni Kweli )
hahahaha kasahau tena wanaume lifespan yao ni nyembamba! hahaha nimecheka sana aiseeHeheheeeeeee......we umetokea wapi asubuhi hii?
Kwani watu hawaachani, au hawafariki?
Kwani binadamu wanaishi milele?
Mung Chris anajua kila kitu na ndio maana kasema ewalaaaa maisha yaendelee.
Asante kwa kunikumbusha niliyokuwa nimesahau.
UKUTA aruke ende wapiBila shaka haruki ukuta
umeipataaa aseeeeee!!! i cant UMpaka umefika.
Hahaahha.....