Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
CAG ameishauri serikali kubadili mfumo wa ajira kwa kuachana na Permanent Pensionable into Contracts, ili kama mtu akishindwa kuperform, anakwenda na maji, lakini hali ilivyo sasa, hata ukiboronga vipi, unaishia kuhamishwa tuu.
Hili pendekezo ni zuri nalisapoti....itasaidia sana kumaliza madudu yanayoendelea sasa tena kwa kiwango cha kuudhi mno..