Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Rais au raia?kubaini nani ni rais
Kafanye utafiti kuanzia kwa jamaa zako hata katika familia kama wanaweza kuimba vema wimbo wa Taifa au kuongea kwa ufasaha lugha ya kiswahiliKwanini wasiyajue ukute siyo raia kweli.
Haiwezekani.Kafanye utafiti kuanzia kwa jamaa zako hata katika familia kama wanaweza kuimba vema wimbo wa Taifa au kuongea kwa ufasaha lugha ya kiswahili
Tatizo hamjui hata nchi yenu ikoje. Kwamba kila mtanzania anajua vema wimbo wa Taifa? na kiswahili fasaha?.Haiwezekani.
Yaani hao wamesoma wapi? Nje ya nchi?...
Kuna waru siyo raia kwa asili, lakini jambo la kwanza wanajifunza wimbo wa taifa kwa ufasaha. Nimelishuhudia hilo kwa raia kutoka mataifa mawili ambayo ni jirani zetu...
Nao sasa waambiwe siyo raiaWakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu, CCM mwaka 2015 pale Jangwani, wasanii waliambiwa kuanzisha wimbo wa Taifa. Waliikimbia Mic hadi alipoichukua Ruby aliyeanzisha kwa mbine bila uhakika. Watanzania wengi hawafaham wimbo wa Taifa.