shape shifter
Member
- Mar 20, 2013
- 98
- 15
mobile version is not ready we are working on it
ahsanteSafi sana jama
ahsante sanabut finally nimeshajiunga kila kitu fresh nimeipenda big up sana jamaaa.....
Safi sana, kazi nzuri nimeipitia, ila mnatakiwa kufanya marekibisho madogomadogo, mfano kuna baadhi ya link hazifunguki mfano mzuri ulionikumba mimi binafsi ni kwenye home page sehemu ya welcome nadhani kuna link ya "meet new people" lakini haifungui, pia kitu kingine fanyeni haraka kuleta mobile version kwa sababu mambo ya kuperuzi kwa sasa asilimia kubwa yamehamia kwenye simuWana JF leo tumerelease version ya kwanza ya social networking yetu inayoitwa FRITYM ambayo imetengenezwa na sisi vijana wa kitanzania,tumetengeneza FRITYM kurahisisha usambazaji wa taarifa mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, kijamii, kisiasa na nyinginezo. Imani yangu nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu coz hili ni jukwaa la great thinkers so tutapata great ideas.Nakaribisha mawazo, maoni na maswali.
link http://fritym.com
Ahsante kwa mawazo tutayafanyia kazi, mobile ndo tunaifanyia kaziSafi sana, kazi nzuri nimeipitia, ila mnatakiwa kufanya marekibisho madogomadogo, mfano kuna baadhi ya link hazifunguki mfano mzuri ulionikumba mimi binafsi ni kwenye home page sehemu ya welcome nadhani kuna link ya "meet new people" lakini haifungui, pia kitu kingine fanyeni haraka kuleta mobile version kwa sababu mambo ya kuperuzi kwa sasa asilimia kubwa yamehamia kwenye simu
ThankxHongereni sana vijana
Mkuu karibu sanaNimesita kujiunga kwa sasa nasubiri watu wawe wengi,,, si unajua Bandwagon effect!
Noted,we are working on itMjitihadi mobile version iwe tayari mapema sana