FRIENDZONE na wanawake

lara 1 unamaanisha kuwa forever tusiwe second kiaje ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hakuna cha kuwa friendly wala nini kama ukijikaza unamega na ukigive up then shauri yako......but mtaka kitu hachoki na akichoka kashapata.............so changanya na zako jikaze kijana
 
Back
Top Bottom