Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
[/B]Somo langu la jumatatu ya leo ni kuwa machizi fanyeni kila namna muavoid hiki kitu cha kuwekwa kwenye FRIENDZONE otherwise mtakuwa hmpati kitu in otherwords be friendly but don't be her friend...i know from first hand experince na huu mwaka wa tatu unakwisha nimewekwa kwnye huu mtego wa FRIEND ZONE...THE BOTTOM LINE IS women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....
Somo langu la jumatatu ya leo ni kuwa machizi fanyeni kila namna muavoid hiki kitu cha kuwekwa kwenye FRIENDZONE otherwise mtakuwa hmpati kitu in otherwords be friendly but don't be her friend...i know from first hand experince na huu mwaka wa tatu unakwisha nimewekwa kwnye huu mtego wa FRIEND ZONE...THE BOTTOM LINE IS women DO NOT reward sensitivity and loyalty with sex....
Mkuu hiyo ni kweli kabisa na if you have plans za kula tunda just make sure you keep that distance!!!
This almost occured to me as i was so friendly sometimes back to a girl who later turned to be my wife!!!
Just make sure you put that distance between you without altering your feelings for her!! she in turn will have to show the signs for you to go for it!!!!
But be careful on the signs as you might be reading the wrong chapter...... ha ha haaaaaa..... i like this one!!!
Mkuu heshima mbele,
Yaani kama ulikuwepo vile,mimi kwa kweli kilichoniogopesha ni hayo maneno niliyoyaquote na kuyabold,maana niliogopa kusoma chapter tofauti na kuishia kupigwa buti la aibu,mzee ila the bottom line is don't get that much closer to her ili uweze kula tunda salama na kwa nafasi kabisa lol!
Mkuu kama ni vibuti basi mie ni bingwa,kuna mrembo fulani alinipiga mabuti miaka kama mi3 hivi lakini sikukata tamaa kila siku nakumbushia nia yangu mwishowe nikapata tunda.Nilifurahi sanabila kibuti utakuwa mwanaume wa namna gani? Ukomavu wa mwanaume na uzoefu wote katika kuwatokea hawa akina dada lazima utokane na vibuti kadhaa, sio miteremko tu kila saa.
Hivi wakulu naombeni ideas...... Inatokea unampenda msichana sincerely kabisa, na baadaye uzalendo unakushinda unaamua kumwambia na ANAKUTOLEA NJE VIBAYA MNO! Well kwa kukuona labda wewe ni choka mbaya... yaani mpaka unajiona hufai....baadaye unaamua ku-give up, but always deep in your heart you still have a belief in her that she can be a good partner and she is still single. Do you think its worthy it to go back to her after such humiliation? By then ulikuwa choka mbaya, but now...atleast things are well and you are doing pretty fine...the only problem is that you feel if you go back to her...hautakuwa na ule upendo wa mwanzo wa kweli kwa sababu uta feel kwamba amekubali kwa sababu now things are fine...
Wahenga walisema angalia sana uanzapo safari mguu ulioanzia kupiga hatua, huu waweza kuwa sababu nzuri au mbaya ya kufanikiwa katika safari yako. Haijalishi umevaa kata mbuga au raba mtoni (those days) Nakushauri sana usikilize moyo wako, kama unafikiri bado kamoyo kanakudunda kila umfikiriapo mrembo basi jitose, ila ndugu angali sana gear zako unazotoka nazo huenda kilichogomba mwanzoni sio ile hali ya kuwa choka mbaya, ni vile tu huna utaalamu wa nyama ya ulimi nk. Hata hivyo madada zetu siku hizi wakiona husimami kwenye vituo vya daladala, hata kama unatumia gari ya kazini tu basi wao huwa ni wapole na wanakusikiliza zaidi. Hata hivyo mambo haya hayatabiriki saanaaa.... All the best
Zombiiiiiiiiiiiiiiiii:source lara1