Friends with benefits

Friends with benefits

toghocho

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
1,172
Reaction score
198
Habari za leo wadau.

Mimi ni mwanaume umri miaka 23-25, natafuta mwanamke (binti) miaka 22-25, wa kuwa nae kama rafiki wa kubadilishana mawazo, na kuwa nae katika mahusiano yasiyo rasmi (friends with benefits) awe na sifa zifuatazo.

1. Awe ni mtu anayejiheshimu.

2. Mzuri ( as opposed to mrembo).

3. Mrefu kiasi (mi ni mrefu pia).

4.Awe matured (tomato means tomato, not an apple).

5. Lengo lake kubwa iwe ni kuendelea na mambo yake huku akiwa na a good friend na kuepuka sleeping around.

6. Awe na mishe zake serious (kazi etc).

7. Awe single (I do not sleep with married women).

8. Awe na uelewa mkubwa wa mambo (quick understanding).

Kwa yeyote aliye interested ani pm, all pms will be replied as soon as am online, the same applies to questions on the thread itself.

NB akipata mchumba tukiwa katika hiyo friendship contract ataruhusiwa kuolewa.

Asanteni.
 
This is what social networks and globalization has brought to our society.

Wenzenu wanatumia mitandao ya kijamii Kwa mambo ya msingi nyie mpo busy kuutafuta ukimwi.

Kila la kheri lakini, naamini utawapata wenye akili zako
 
vijana tupo katika wakati mbaya sana, any way let God be with us. ufanikiwe na pia badae uje na - tutakushauri na kukuombea
 
Shukrani mkubwa, but sijasema awe HIV positive, infact anatakiwa awe tayari kupima.
 
vijana tupo katika wakati mbaya sana, any way let God be with us. ufanikiwe na pia badae uje na - tutakushauri na kukuombea
Samahani mkuu sijakuelewa, noje na nini?
 
habari za leo wadau.

Mimi ni mwanaume umri miaka 23-25, natafuta mwanamke (binti) miaka 22-25, wa kuwa nae kama rafiki wa kubadilishana mawazo, na kuwa nae katika mahusiano yasiyo rasmi (friends with benefits) awe na sifa zifuatazo.

1. Awe ni mtu anayejiheshimu.

2. Mzuri ( as opposed to mrembo).

3. Mrefu kiasi (mi ni mrefu pia).

4.awe matured (tomato means tomato, not an apple).

5. Lengo lake kubwa iwe ni kuendelea na mambo yake huku akiwa na a good friend na kuepuka sleeping around.

6. Awe na mishe zake serious (kazi etc).

7. Awe single (i do not sleep with married women).

8. Awe na uelewa mkubwa wa mambo (quick understanding).

Kwa yeyote aliye interested ani pm, all pms will be replied as soon as am online, the same applies to questions on the thread itself.

Nb akipata mchumba tukiwa katika hiyo friendship contract ataruhusiwa kuolewa.

Asanteni.
tongoza tongoza tu mkuu huko mtaani huku jf utabeba na visivyobebeka. Anyway all is well.
 
This is what social networks and globalization has brought to our society.

Wenzenu wanatumia mitandao ya kijamii Kwa mambo ya msingi nyie mpo busy kuutafuta ukimwi.

Kila la kheri lakini, naamini utawapata wenye akili zako

A friend with benefit always carries a hidden something angalia baba
 
Back
Top Bottom