'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

noted mkuu S Mtsimbe! Ila ni ngumu! Tunamsubili pakajimy atupe ilivyokuwa Atown...Dar kuna watu usalama hawalali kutaka kujua baadhi ya Id humu ni kina nani, tusije tukawarahisishia

Haaaa haaaa, Dunia ya Utanda wazi hii . . . chchote chawezekana. Ila wakushike kwa sababu ipi? Nchi ya utawala wa sheria hii.

Hivi Zeutamu alikamatwa? au issue yake iliishia vipi?
 
Naomba kwa msiba huu iwe chachizo kwa membars tuanze kujipanga, kimkoa, kikanda, then as a nation.
Bila kupoteza wakati nahitaji membars tuliopo Rock City - Mwanza jitambulisheni chini majina yenu kuufatia uzi huu, tukishapata idadi yetu, ndiyo ifate hatua ya jinsi gani tukutane.
 

Sidhani kama ni vyema kusema kabisa mnakutana wapi,....wange thibitisha wanao taka kushiriki
then kama wapo dar mkawa notify at lest 4hours kabla.
It's not safe kujulikana JF members wanakutana wapi na lini.
 
Adding an account kwenye skype yangu inaleta white screen which stays there for ever
na siwezi kuadd.Google doesn't help solving the problem.
Nita confirm kesho kama nitashiriki hiyo 27.1 physically.
 
Sidhani kama ni vyema kusema kabisa mnakutana wapi,....wange thibitisha wanao taka kushiriki
then kama wapo dar mkawa notify at lest 4hours kabla.
It's not safe kujulikana JF members wanakutana wapi na lini.
unaogopa nini?
Hii si mara ya kwanza wana JF kusema wanakutana wapi na lini ? Na hakuna
Kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…