Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

bado hatujapata wa kuifikisha hili taifa kwenye nchi ya ahadi yenye asali na maziwa.
 
Nini kimetokea juzi walipotaka kumjadili Dar? nipe habari kama unazo kuhusu kumshughulikia EL
 
Lowassa for Presidency 2015,hamna mwingine anayefaa kutoka magamba,Ukawa kila mtu atataka kuwa raisi,kuliko kutupa kura yangu bora niwekeze kwa raisi wa kweli...
 
Anajiita mmasai kumbe Mmeru. Kuna usemi kuwa kuliko ukutane na mmeru heri......
 
filosofia zingine ni simplo sana "HUWEZI KUWA NA RAFIKI MWIZI/TABIA CHAFU NA ZA GIZANI HARAFU USIAMBUKIZWE NAZO AU LA HATA KAMA HUKUAMBUKIZWA LAZIMA UTAZIZOWEA TU NA HAZITAKUWA TENA CHUKIZO KWENYA MITAZAMO YAKO" ila nashindwa kujua si jamaa wanatumiaga ndagu za niaje yani mpaka mijitu inazidi kuwa na imani nao ..mi huwezi nishawishi kwamba el haijui ccm, naamini anakijua chama a to z na anajua nani ni nani na nani alifanya nn kuliko ha wananchi tunavokidhania icho chama na watu wenye chama chao so naye ni mdharimu kama chama chaki kilivyo dharimu...so apite pembeni yangu kabisa
 
Edward Lowasaa Ndossi?
Nikifikiri ni Edward zlowassa Mawalla?
Wakuu tupeni data!
 
Back
Top Bottom