Friends of E. Lowassa

Friends of E. Lowassa

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Jambo kubwa linalompa Lowasa Marafiki wengi na kungwa mkono pamoja na umaarufu wa kisiasa anaopata sasa na kuzidi pia kuumiza vichwa vya wanasiasa wengi ikiwamo wa chama chake CCM,ni technique ndogo tu aliiyoitumia. .

kuna msemo unasema " ili kushinda vita ,lazima umjue adui yako vyema"
Lowasa kaangalia ni yapi hasa matatizo ya watanzania walio wengi.

1.Watanzania wamekosa viongozi wanokaa karibu nao na kuongea kuhusu matatizo yao moja kwa moja.
2.Na pia ni jinsi gani CCM vyama vingine imeashindwa kutatua matatizo ya watanzania .

Lowasa kaamua kujiingiza direct na kujifanya ni kati wa wananchi wenye Matatizo bila kubagua wala kujotenga .

Lowasa kawafanya wanasiasa wengeni kuonekana si watendaji bali ni wapenda madaraka na wengine kuonekana wakiwa na ahadi zisizotimizika .

Lowasa kaonekana ni mtu aliyeona shida za wananchi na kuonuesha nia ya kuwasaidia kwa chochote alicho nacho .. hata kama kuna uchu wa madaraka ndani yake ..lakini amejitahidi kutumia mbinu kushinda maadui zake ..

Leo hii wote wanaomsupport Lowassa yaani "Friends of E.Lowasa" ni kwa ajili ya kijiridhisha na madogo aliyoyafanya.

Kunyamaza kwa Lowasa kuna zidi kuwaumiza kichwa wana CCM ..

Wengi tuaasema Lowassa anatumia pessa za ufisadi kujisafisha,lakini ni afadhali yeye aliyeona aibu na kidhubuthu kurudisha pessa hiyo kwa njia ya siasa pamoja na kujisafiaha ,kuliko mlio wengi ambao walikula ,wanakula na wataendelea kula peasa na kodi za wananchi maskini na familia zao pasipo hata kurudisha mrejesho wa 10°/ kwa wananchi na mmebaki kua wachafu.
 
Mamvi anakubalika kwa njaa kali kama wewe!! Jitahidini kumtia moyo anaweza kuambilia hata nafasi ya pili sio mbaya sana!!!
 
", sijamtia moyo bali nimeongea hali halisi ilivyo .."@Blac
 
Wengi tuaasema Lowassa anatumia pessa za ufisadi kujisafisha,lakini ni afadhali yeye aliyeona aibu na kidhubuthu kurudisha pessa hiyo kwa njia ya siasa pamoja na kujisafiaha ,kuliko mlio wengi ambao walikula ,wanakula na wataendelea kula peasa na kodi za wananchi maskini na familia zao pasipo hata kurudisha mrejesho wa 10°/ kwa wananchi na mmebaki kua wachafu.

you are definately a friend of lowasa....enjoying milk and honey together
 
Lowassa atuambie zile nyumba 42 alizokuwa anamiliki wakati akifanya sherehe yake ya kuzaliwa akiwa na miaka 42 alizipataje ? Tena maeneo nyeti kama Oysterbay, Mikocheni na Masaki ? Baada ya kujua hilo ntakuwa FRIENDS OF LOWASSA
 
sijasema ni mmoja wapo wa frinds wake ,ila mm ni mmoja wapo wa wananchi nnaoshuhudia hali ya kisiasa inavyokwenda ..let us agree the reality ..
 
Mamvi anakubalika kwa njaa kali kama wewe!! Jitahidini kumtia moyo anaweza kuambilia hata nafasi ya pili sio mbaya sana!!!
EL kawageuza watanzania kuku wa kienyeji. Kuku wa kienyeji anatupiwa punje za mahindi ili asogee na kukamatika kirahisi. Kudhihirisha ukuku wa watz hao, hata hawajiulizi siku zote hizo alikuwa wapi mpaka anaanza kugawa misaada mara hii?
 
JE WW UNA AMINI KIONGOZI UNAYEMWAMINI LEO AU CHAMA UNACHOKIAMINI LEO KIKIINGIA MADARAKANI HAKITAJITAKIA MAISHA MAZURI KAMA HAYO .. NA UNAAMINI KABISA KIONGOZI IMTAKAYE ATAKUUDUMIA IPASAVYOO ..
SIASA NI DIRTY GAME ..KILA MTI ANA MASLAHI NA FAMILIA YAKE ..ILA SASA NI WAKATI WA KUMPATA YULE ANAJUA KULA NA WOTE .. the Fixe
 
Last edited by a moderator:
Lowassa anakubalika akuna ndani ya ccm km lowassa.na kamati kuu wasipo mteua ccm Ndo.mwisho wao.kutawala
 
tumejiuliza saana lowasa ana kasoro nyiangi mnoo ...lakini sidhani kama mtoto wako akiunyea mkono utamkata .. ! if he karepent kwa wananchi na anaonyeaha njia ya kuwa mwema .. basi mwacheni ajisafishe .. na kwa nnashanga mmpepata preasure ya kumuona anautaka uraisiv..kwann anawapanikisha kwa technique ndogo kama kweli mnajiaminii ? isotope
 
Last edited by a moderator:
na nnashangaa zaidi kwann wanaochnganyikiwa ni CCM na mtu ambaye hata hajawai kudili nao kwa lolote..?? Na ndio maana nasema lowasa kakozidi chama kikibwa kama CCM uwezo wa kupigaba kisiasa .. peter
 
Last edited by a moderator:
Siungi mkono wala sipingi. Nipo neutral tu. EL ana mawazo yake ya kujionesha kwa wananchi. Haendi mahali akaalika Maccm tu anawaalika watu.
Anaenda Misikitini anamwaga hela kwa watu sio kwa Maccm, anaenda kanisani anamwaga hela sio kwa Maccm. Anafanya mrejesho.
CCM ingemwiga mtu huyu kwenye kata zake inazogombea kuzirudisha kwenye milki yake. Wangejenga angalao darasa moja tu shs 3m, lakini badala yake ati wanapita kugawa Khanga zenye sanamu la mtu fulani na anayegawa ni Katibu mkubwa katika hilo lichama. Ili watu wamchague mgombea wao. Huu ndio ujinga wa ccm. Wanahonga vitu vya hovyo hovyo tu. Khanga na Nyama pu.mba.fuuu oneni huyo EL, anagawa boda kwa boda, mpooo?? Pamoja na ufisadi wake lakini watu wanamwona tofauti. CCM inafanya BD party ya miaka 37 kule Mbeya, m/kiti wake badala ya ku adress vitu vya nguvu anaweka mipasho kuwananga wapinzani. Mmekwishaaa. Nampa B/up mzee wa mamvi atawatikisa mpaka kichwa kiwe matope tu mwaka huu mpaka 2015 muwehuke.
 
Tulihuzununika pamoja, tulifurahi pamoja, tutashinda pamoja.
 
Lowassa atuambie zile nyumba 42 alizokuwa anamiliki wakati akifanya sherehe yake ya kuzaliwa akiwa na miaka 42 alizipataje ? Tena maeneo nyeti kama Oysterbay, Mikocheni na Masaki ? Baada ya kujua hilo ntakuwa FRIENDS OF LOWASSA

ukizitaja adress zake kwa kuweka na picha utakuwa umefanya jambo la maana sana. vinginevyo utaonekana kama watu wenye 'waraka orijino' lakini hawautoi, wenye ushahidi wa mabomu arusha, lakini hawautoi.....Lakini wanataka waaminiwe! Wakati hata uaminifu kwa wake zao migogoro...
 
Lowassa ni mtendaji, mchapa kazi, mwenye maamuzi jamani huo ufisadi kaanza yeye? Kuna aliyesafi?
 
Kwa kweli ndani ya ccm lowasa anaweza kushinda sio kwa ubora wa sifa ila kwa kuwa ndie mwenye afadhali ukifananisha wa wabovu wenzake. Na hilo ndilo linalompa moyo.
 
Ngoyai mapozi yake tu ila sasa umri na marathi vinamtafuna taratibu
 
una cheti chochote valid from hospital kitakachoweza kukutetea na hoja yako hiyo ?

Pakipambazuka asubuhi unasubiri mpaka uone jua ndio ujue siku mpya imeanza utachelewa sana stail hiyo kijana
 
Back
Top Bottom