WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
Mkuu awamu ya 5 hii, watu hawataki tena vitu vya anasa!!
aiseeeMkuu awamu ya 5 hii, watu hawataki tena vitu vya anasa!!
Msiwe mnakatisha tamaa watu kiasi hicho mkuu sio poa kabisa.180,000/= unapata fridge used toka ulaya karibu na mpya wewe hilo skrepa uuze 200,000/=? Hahahah hilo freezer la laki 6 ni 150,000/= tu kariakoo
bora umeongea broKariokoo hakuna frige ya 180000 mm mwenyewe naleta used frige kuanzia 350,000 ndongo kabisa ya chumbani 180,000
Usipende kuharibu biashara za wenzio, sio vizuri.180,000/= unapata fridge used toka ulaya karibu na mpya wewe hilo skrepa uuze 200,000/=? Hahahah hilo freezer la laki 6 ni 150,000/= tu kariakoo
thanx ndugu kwa kumuelewesha huyoUsipende kuharibu biashara za wenzio, sio vizuri.