French to Swahili hapa!

French to Swahili hapa!

GOLDGREEN9

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
351
Reaction score
223
Habari za mchana wanaJF
Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze,
Naanza Mimi

Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè

Kisw;Nchi yangu nzuri inaitwa Tanzania
 
Hongera kwa kujaribu ila accents zinakusumbua; kama uko Dar; naomba uje kwetu ujifunze kwa mda mfupi sana KIFARANSA sanifu!
merci!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom