Mambo vp wadau
Umekuwa ukitamani kujua/kujifunza lugha ya kifaransa? Karibu tuwe pamoja kwenye hii thread uweze kujifunza maneno mbalimbali ya lugha ya kifaransa.
Uliza swali lolote au neno lolote la kifaransa nami nitakujibu na kukufundisha.
Karibu tujifunze pamoja