French Kiss!!!

Kama Kinywa si safi unamwambia ukweli Annina kwamba kinywa chako kinaleta...hivyo apige deki kinywa kiwe bomba. Kuna wengine hiyo french kiss ikiwa kavu kavu hata hawaigusi sana wanataka iwe Wet French Kiss ndiyo mahanjam yanawapanda vibaya sana. Sasa hili la wet au dry french kiss linategemea mtu na mtu.

Umesema sawa kabisa, tatizo langu ni ile papara! Mtu anaona kama anachelewa anakotaka kwenda...so wet french kiss inabadilika na inakuwa ni zoezi la umwagaji mate ili awahi anapopataka - jamani!

Kuhusu kinywa sijui watu wanaogopana au vipi, kuna kaka tunaheshimiana sana na ana mke lakini akifungua mdomo ni hatari... sasa nimegundua huwa natembea na 'jojo' nikiwa nae jirani nachukua moja na nampa na yeye pia angalau amani inapatikana...

Annina
 
Papara inawezekana jamaa hajapata pata siku nyingi ;) (ana UH plus plus hahahaha) au mvuto wa dame si wa kawaida hivyo lazima apaparike. Kuna joke moja ya siku nyingi jamaa kachukua mtoto mmoja aliyeumbika sana basi wakaenda kunanihii sasa jinsi yule binti alivyokuwa mzuri wa kupindukia alivyosaula kila kitu na kubaki na birthday suti yake basi jamaa kaachia viwili vya haraka haraka hata kabla hajamgusa yule binti....LOL!

Usafi wa kinywa ni muhimu sana na kwenye mapenzi kama kinywa si kisafi basi inaweza kusababisha hata ugomvi wakati wapendanao mmoja anataka denda na mwingine hataki denda kwa kujua kinywa cha mwenzie kinaleta, lakini hili ukimfahamisha mwenzio anaweza kukishughulikia kinywa na hatimaye ukaridhika na usafi wake.
 
mimi na rafiki yangu tulienda cinema jana, tulipokuwa njiani kurudi binti akasema angependa kuwa kissed kama richard gere anavyokiss...then akasema anapenda french kiss na itabidi aende paris kupata french kiss kutoka kwa wafaransa wenyewe! Bf wake alikuwepo wakati haya yanazungumzwa sijui alilichukuliaje lakini msg ilikuwa jamaa hamridhishi kwa kisses (sijui mengine). Jamani wakaka jitahidini kuwajua wapenzi wenu, mtu mpaka anatamani kuwa kissed na richard gere wakati yupo na wewe?

annina
ok,tutajituma zaidi
 
hahahahahahahaha ndiyo maraha anayoyasikia yanamfanya agande kama yuko kwenye jokofu lakini usidhani kazimia au kafa ni maraha tu hayo....LOL!

Mkuu BAK tatizo akiganda na mdomo unafungika so no entrance yaani wabaki kuzunguka nje ya fence tu ndani hakuingiliki yaani shughuli kwake ni moja tu anayosubiri, kwasu kwasu kwasu baaasi sijui wa milimani yule lol
 
Mhhhh! hapo Mkuu inakuwa kazi kweli kweli maana hakuna denda tena hapo.
 
Yaani watu wanaongea juu ya usafi wa kinywa, sawa! Lakini kuna midomo ambayo usafi haufui dafu. mfano utakuta mtu meno karibu yote yalishaoza, na kubadilika rangi; na yanatoa harufu. Usafi wa aina gani utarudisha harufu nzuri ya mdomo? Vinginevo ang'oe meno yote basi! Nakubaliana na mtu kufanya usafi pale inapowezekana, lakini pale ambapo mdomo wa mtu umekuwa sugu kwa meno kuharibika, basi wapendanao wavumiliane. Mapenzi hayana kinyaa kwa taarifa yenu, ndo mana wahusika wanalambana kila mahali . . . Je, kupi kusafi ni mdomoni au kule kwingine? Naamini mdomoni bado ni kusafi sana ukilinganisha na huko kwingine watu wanakothubutu kukuvamia.
 
Kwa taarifa yako ni kwamba wataalamu wanadai kinywa ni kichafu zaidi kuliko huko kwingine.
 
Eh! Kaizer vipi tena Mkuu!? LOL!

katika kufatilia sredi mkulu BAK nimeona ligi ya wembe kupewa mtoto na kumkata, sasa the Boss bado akiulilia na Annina ameapa kumpatia liwalo na liwe....ila sasa ndo ivo mtoto akililia wembe wacha umkate

ndo nilikuwa nahitaji feedback kama umeshamkata au la heheheeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom