The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Mtoto akililia wembe mpe!
Annina
umeshasema mwenyewe mapenzi ni sanaa
njoo nikuonyeshe sanaa.
sio wembe....ha ha lol
Mtoto akililia wembe mpe!
Annina
umeshasema mwenyewe mapenzi ni sanaa
njoo nikuonyeshe sanaa.
sio wembe....ha ha lol
Mtoto akililia wembe mpe!
Annina
Naam Annina ukimkata shauri yake!...lakini usije kushangaa tu jinsi anavyofahamu kuutumia wembe huo bila kujipa madhara yoyote
[SIZE=4 said:Annina[/SIZE];866020]
Tatizo siku hizi kuna wanaharakati...haki za watoto... wakikukuta unampa mtoto wembe hutaamini matokeo yake!

Tatizo watoto wa siku hizi wanaweza kukulengesha kwa wanaharakati....
Annina
Mmh mtoto mwenyewe anajua mduara na mdumange... inabidi kujipanga sawasawa
Annina
ha ha ha unaweza kugundua mtoto
mwenyewe si mtoto ni mtu mzima kivitendo..
ha ha ha
Vipi kuhusu Chinese kiss?????...hata ukitaka italian kiss,au german kiss..nipo gado...
Jamani kuna watu kila kitu kwao ni papara...hata kiss mtu anakimbilia kumlowesha mwenzie na mi mate kila mahali then huyo anawahi anapopataka! Sasa ukikuta na masuala ya hygiene kinywani ni zero basi badala ya raha inakuwa karaha! Again, mapenzi ni sanaa!
Annina
Mimi nimekutana na msichana kumkiss kwake ni nomaa eti kisa inamdrive crazy na wengine wala hawajui kuzipokea hizo kisses ati wananganda kama wako kwenye jokofu