Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe road karibu na njia panda sigara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe road karibu na njia panda sigara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, May 31, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  IPO SEHEMU NZURI NA INATAZAMA BARA BARA YA CHANGOMBE
  INAFAA KWA DUKA LA VIFA VYA UJENZI , DUKA LA VYAKULA, VINYWAJI NA VIPODOZI
  BEI NI TSHS. 80,000/= KWA MWEZI NA MKATABA NI WA MIEZI SITA SITA
  WASILIANA NA 0713 68 96 65:A S cry:
   
 2. B

  BizNaughty Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa, kama wewe ni dalali, basi nitafutie ghetto mitaa hiyo. iwe self, chumba na sebule.kukiwa na angalau jiko/stoo ya kiuzushi itakuwa njema zaidi.
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kaka mimi sio dalali ni mwenye nyumba nasikitika siwezi kukusaidia kutafuta ila nakuahidi kuumnganisha na dada mmoja anafahamiana na dalali wa maeneo jirani na keko. Asante kunielewa
   
Loading...