Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Habari zenu wakuu,
Fremu inapangishwa ipo maeneo ya tandale chama
Fremu ni kubwa na sehemu ilipo fremu kumechangamka sana kwa sababu ipo karibu na kituo cha mabasi na pembezoni kuna kituo cha madereva wa bodaboda
Kisimu changu kimeshindwa kuapload picha ili muweze kuiona
Kodi ni shilingi 50000/= kwa mwezi
Karibu ufanye biashara
Unaweza ukani pm au piga simu namba 0714354603