Frem ya biashara inapangishwa manzese

Paul AC

Member
Dec 23, 2014
18
1
Hello wanajamii,
Nina pangisha frem ya biashara eneo la manzese midizini, ni frem mpya na ipo barabarani kabisa njia ya kuelekea buguruni kupitia mburahati, biashara yeyote ile halali inafaa bei ni Tsh.100,000 kwa mwezi. Kwa maelezo zaidi ni pm or call me kwenye 0718371221. or email me at paulchapa2013@gamil.com.
Thank you so much.
 
Hakuna panya road as siku hizi paka road wametawala na kukamata mmoja baada ya mwingine. You are most welcome huku ni amani tupu.
 
Back
Top Bottom