MG255
Member
- Mar 3, 2018
- 14
- 3
Ipo Kinondoni barabara ya kutoka posta kwenda makumbusho.
Ni ya nne kutoka barabara kuu ( barabara ya mwendo kasi) upande wa kushoto ukitokea makumbusho.
Ni kubwa ndani na inafasi ya kutosha kwa nje kwaajili ya gari zitakazo ingia kuleta mizigo pamoja na parking .
Kodi ni Tsh 200,000/= kwa mwezi na unaweza lipia miezi nne kwanza ( kama utapenda kulipa zaidi ya hio pia unaruhusiwa )
Kwa mawasiliano piga au tuma ujumbe mfupi (SMS) kwa namba:-
+255 653 231 798
+255 744 601 144