#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Hata Lisu sijaona hata neno lake kuhusu kilichotokea kwa hao jamaa.
 
Chahali we ni great thinker n utaendelea kuwa my role model in my daily life approchment, ki msingi Chahali anahoja hata kama provision angle yake itakuwa in balance cha muhimu ni ku deal na hoja ya msingi lather than kumlaumu az if kuna ma lay men yanaomba akina mbowe waendelee kusota rumande
 
Wanao omba Mbowe asitoke jela ni kina ISIS naomba fuatilia post zake utaligundua hilo
 
najua wewe ni assets tiss so sishangai
but mwambieni jiwe kama anadhani upinzani ni mbowe,matiko,lisu au lema anakosea big-time
upinzani ni akili na mioyo ya watu akitaka anaeza wapoteza hao apo juu lkn kamwe upinzani hautaisha na utaishi milele kwe mioyo ya wapinzani ambao ni anybody

"narudia tena wewe sio mzalendo ( sjui huko tiss hamfundishwagi) nge kumwaga ubongo kwa mkono wangu kama ungekua hapa

Pumbafu:endelea kuaminisha wajinga et ulikimbia tiss
"najua uchaguzi unakaribia....
 

Mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe basi kanunuliwa? Halafu mnajidai mnapigania demokrasia!
 
Wewe chahali tunafamu kuwa wewe ni daudi balali unatafuta kiki kupitia wanasiasa kama mbowe na matiko kuongeza followers huko inst in a mange voice wewe endelea kukaa huko glaskow uskochi ubebane na mabox kwenye supermarket upate kula
 
Kwanini ya chadema yanawakera na hali yakuwa ndio vicheko kwenu kwa kuwekwa ndani viongozi WA upinzani?

Hivi unamapenzi na chadema. Toa mchango wako juu yao.

Juiz jiwe kasemaje viongozi WA upinzani wawekwe ndani sasa si mfurahiye hayo.
 
Hebu waache hao wanyama wa serengeti wanapumzika pia wako busy na mgombea wao Membe! Hujaiona hashtag yao ya #Kazinabata?!
Yaani wanaacha kumpigania Mbowe wanampigania Membe. Yaani hawa jamaa sijui nuts zimelegea humo kichwani?
 
Unapokuwa mwanaharakati ama bushlowyer jitahidi sana ujue na sheria za nchi zilizotungwa na bunge zinasemaje. Hapa watu wanailaumu serikali, wanailaumu mahakama badala ya kuwalaumu watuhumiwa hao waliovunja masharti ya dhamana kwa makusudi? Haya angalieni kifungu hiki cha CPA kuhusiana na mtu aliyevunja kwa makusudi masharti ya dhamana.
 
Ukishafungamana na KIJANI, sijui akili zinaenda wapi? Huyu ni mtu potential kabisa, sasa ona anachofanya punde tu baada kujiunga nao.
 
MKIMBIZI NA MCHUMIA TUMBO CHAHALI KATIKA UBORA WAKE
 
Sasa hivi mko na Membe ama siyo bwana? Mbowe ni nani mbele ya Membe kumtoa Magu 2020

Chadema mna laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…