M maguzumasese2005 JF-Expert Member May 1, 2014 642 169 Jul 5, 2014 #161 Mimi nina uhakika papa ni freemasons
Inside10 JF-Expert Member May 20, 2011 26,060 23,943 Jul 5, 2014 #162 maguzumasese2005 said: Mimi nina uhakika papa ni freemasons Click to expand... prove?
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Jul 5, 2014 #163 maguzumasese2005 said: Mimi nina uhakika papa ni freemasons Click to expand... Waaaa........🙊🙊
maguzumasese2005 said: Mimi nina uhakika papa ni freemasons Click to expand... Waaaa........🙊🙊
Ndahani Platinum Member Jun 3, 2008 18,119 9,049 Sep 10, 2020 #166 Nani ni nani ndani ya Freemasons East Africa? Sir Chande hakuwa peke yake. Kwanini wanafanya siri? Let's know the list
Nani ni nani ndani ya Freemasons East Africa? Sir Chande hakuwa peke yake. Kwanini wanafanya siri? Let's know the list
Mkweche II JF-Expert Member Aug 11, 2018 3,551 4,764 Sep 10, 2020 #167 baada ya chandy kufariki nani kiongozi kwa sasa hapa bongo
moj6 JF-Expert Member Nov 2, 2017 3,366 4,970 Sep 10, 2020 #168 Love upendo said: baada ya chandy kufariki nani kiongozi kwa sasa hapa bongo Click to expand... Mrithi yupo,ila sio mbongo
Love upendo said: baada ya chandy kufariki nani kiongozi kwa sasa hapa bongo Click to expand... Mrithi yupo,ila sio mbongo
platozoom JF-Expert Member Jan 24, 2012 9,366 11,156 Sep 10, 2020 #169 Kumbe nilishiriki huu mjadala, maana nimekutana na likes kucheki kumbee. Halafu mjadalani toka 2012, imepita miaka nane sasa. Ajabu ni kwamba members wa zamani hasa Wadada wamepotea kabisa, sasa sijui kama wameipotezea JF ama 'wamezaliwa upya'!
Kumbe nilishiriki huu mjadala, maana nimekutana na likes kucheki kumbee. Halafu mjadalani toka 2012, imepita miaka nane sasa. Ajabu ni kwamba members wa zamani hasa Wadada wamepotea kabisa, sasa sijui kama wameipotezea JF ama 'wamezaliwa upya'!