Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Can someone conduct a scientific research on Free Masonry in Tanzania?

I think socialogists are in good position to do this

Tanzanianjema
Chande alifafanua kinagaubaga juu Freemasonry in Tanzania- A Knight in Africa
 
W
Jamaa mbona umemkazia sana mtoa post ? Unataka kusema wewe ndo upo sahii zaidi kushinda hao jamaa unaowakosoa ? Nauliza tu...
Hawana wanalojua waweke masonic number zao ndio tuongelee freemasonry, otherwise waache story za vijiwe vya kahawa na copy and paste ya machapisho ya watu ambao ni anti-masonic,hili ndo linatufanya tunakuwa maskini wa fikra tunaamini tunajua wakati tuna wrong information from wrong sources. tunaendekeza vijihisia vya watu fulani ntasikitika kama kweli pana graduate halafu anatoa reference ya shehe yahaya? nilitegemea mtu ajitokeze aseme masonic reg number yako, na district yake ndio aongelee sio mtu kujifanya anajua kumbe upuuzi,anaetaka uhalisi anifate private siwezi weka mengi ila kifupi taarifa zote zinazosema vibaya freemason ni uongo ni fedheha kwa watu wenye akili na busara kuamini,hadi graduate anasema kanisa lao lipo posta,,,jamani hallna church sawa?Tutazidi kulalamika ajira za shida,wasomi tz hawaheshimiki kwa namna hii wasomi wataheshimikaje kama wanafikiria same level na makondakta na wasukuma mikokoteni na wapiga debe?hadi reference ya shehe yahaya?shame be upon you
 
Reactions: Ctr
anajitetea tu na kugusia activities 'safi' za masons,hakuna zaidi
Mara nyingine tunataka kuwasemea watu au societies zao: mwenye uhakika with evidence juu ya shughuli chafu za FREEMANSON atuletee hapa. Nachelea tutakimbia kivuli chetu
 
Hapa unachanganya habari unapotuambia kuwa "NDANI YA MIOYO YAO WANA ROHO MBAYA ZA AJABU", kwa vipi?
 
Hata biblia ya wakristo haiwatambui wanawake
 
GUSA HAPA Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Mkuu nimeku pm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…