Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,322
- 33,126
Mkuu huyu mtoto ni CHADEMA!
M'mungu amuepushe na makundi ya ajabu, awe mtoto mwema kwa wazazi wake na jamii kwa jumla
Ahahahaaa una vituko wewe pamoja hayo AmiinTena amweke mbali na vizazi vyote vilivyo chini ya ccm maana vitamkosesha kuiona pepo.
Ameen...Tena amweke mbali na vizazi vyote vilivyo chini ya ccm maana vitamkosesha kuiona pepo.
Unataka kutuambia kwamba M4C ni Freemasons!
Nilikuwa nakupiga chabo wewe ndiyo maana nimekuwa hivi....Wewe acha kutoka nje ya mstari darasani ulikuwa kama madenge nini.
Nilikuwa nakupiga chabo wewe ndiyo maana nimekuwa hivi....
Mambo? Lunch umekula mwenyewe hata kunikaribisha ya uongo.....Hahahaaaa wewe ni soooo.
Mkuu huyu mtoto ni CHADEMA!