Freemanson, illuminati

Bundala,

Hawa wajamaa kwa sababu walilenga kushika uchumi wa dunia walitengeneza vita vya kwanza vya dunia na vya pili ( wanaconsider war as the good business ) wakiwatumia RothChilds wayahudi waliokulia ujerumani na ambao hadi sasa ndio wanashikilia mifumo karibia yote ya kifedha duniani . Na katika kutekeleza mkakati wa New World Order ambayo ni mfumo shetani ambao ni full ant Christ ndo tunakutana na mambo kama utoaji mimba,ndoa za jinsia moja,wachungaji wanawake n.k Hivyo elimu juu ya hizi jamii za siri ni muhimu ili tuweze kujua mbinu chafu za shetani kutawala dunia.

Una ushahidi kutetea unachosema? Ama ndio tetesi zilezile za siku zote?

Kama freemasons ni secret society mwafahamu vipi falsafa, malengo na utendaji kazi wake?
 
freemason.1 of the organization in the world ambayo many people hold misconseptions abt it,to undertand abt mason u beta get saved by mason,however due to their secrec policy,they never respond toward critics. . .bilv in fratenit,brotherhood,charit,love. .ar mostiest trustworth human in the world. . They biliv i God,and they dnt recruit members.
 
Wakuu mnalionaje hili, magazeti kadhaa nchini hususan gazeti la Tazama Tanzania, yamekuwa yakiandika habari za freemanson, illuminati karibuni kila toleo, tena ukurasa wa mbele sehemu ya chini, binafsi sijaweza kuelewa lengo lao ni nini zaidi ya kuhisi kuwa wanatumiwa na hao members wa hiyo society inayopingana na Mungu na kumwabudu shetani ili kuzidi kuifanya iwe maarufu.

Ifahamike hawa ndio wanaochochea mambo mbali mbali likiwemo suala la ndoa za jinsia moja na kuhakikisha kwamba watu wanapoteza kabisa hofu ya kwamba yupo Mungu.
Mimi nimependa signature yako.
 
kwel kabisa MR MAK hv v2 vpo yan vpo waz. Asilimia 60 yote inaamin v2 hv vpo na wanatoa ushahd na kuonyesha alafu unakujakusema hakuna hii itakuwa ni sawa na kusema UCHAW UPO ILA USIAMIN KAMA UPO. Lakn unajua kuwa upo wa2 wanaelewa nini kinachoendelea kaka hv v2 vpo wa2 na vnajionyesha waz na makanisa na misikit wanasema waz kama vipo. Iweje ukubal kuwa yupo (NGUVA) na huja wah kumuona toka uzaliwe na unaishia kuona picha yake 2uu. So freemanson ipo m2 wangu ila jiangalie iman yako ipo wap. Mana dunia sasa ni kitendawil c makanisa c misikit

Mkuu unaweza kujitahidi kuandika lugha isiyomfanya mtu afikirie maandishi yako badala ya kitu ulichoandika?(angalia kwenye nyekundu)
 
Freemanson it is all about PURITY,GOD AND BROTHERHOOD bt issue is how do they live, there comes misconceptions and imaginations especialy to the dogmas.
 
Kadri siku zinavoenda nazidi kusikitika ni kwa jinsi gani IQ ya Tanzania ilivyo chini. Siyo mara yangu ya kwanza kusikia Mtanzania akisema Freemasons eti ni waabudu mashetani. Nasikitika hata Mh. Mrema alishanukuliwa akisema hivyo hivyo.

Jamani, Freemasons ni Wakristo. Wanatokana na Order ya Knights Templar wa Cathlic enzi hizo ambapo papa alikuwa anaenda vitani na kupigana kama mfalme yeyote. Hawa Knights Templar walikuwa ni Crusaders walioenda Mashariki ya kati (Jerusalem) kupambana na watawala wa ki-Islam na kuwa-convert waislam. Walipamnbana na yule Jemedari mahiri wa ki-Islma anaitwa Saladin.

Katika kupambana kwao, hawa Templars walijilimbikizia mali (spoils of war) nyingi.
Hapana sidhani kama ni ukweli mana katika kufatilia kwangu origin ya freemasons sijawah kutana na habar hii
 
Ndugu mleta mada,fuatilia haya masuala kwa umakini.Hawa illuminati ni watu hatari kuliko unavyodhani.Silaha yao kubwa BRAIN WASHING programmes.Mwanadamu akishakuwa brain washed hana muda wa kutafakari na kuhoji hata masuala madogo tu.Kwa mfano;umeshajiuliza ni kwa nini wanawake wengi wa Kiafrika leo hii wanaweka manywele ya bandia na kujichubua ngozi zao kutaka weupe? Kwa nini wanaume wanasuka na kuweka hereni?
 
Hivi unajiungaje huko?
Heri hata kwenda huko,
Hawa wachungaji wetu ni hatari kuliko hata hao freemason.
 
Hivi unajiungaje huko?
Heri hata kwenda huko,
Hawa wachungaji wetu ni hatari kuliko hata hao freemason.
Mkuu uko sahihi hawa wachungaji wako nje ya box ila wanataka kuwaacha raia wao ndani ya box ili waendelee kuwatawala karibu sana ktk jamii huru mwanzo zilikuwa za siri but kwa sasa sio siri tena ndio zinalatibu project kubwa na charity events kibao Search Google kati ya jamii hizi free mason,Skull and bones,Rosicrucian au illuminat btw karibu sana skull and bones
 
Back
Top Bottom