Mla Mbivu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 224
- 48
Wakuu mnalionaje hili, magazeti kadhaa nchini hususan gazeti la Tazama Tanzania, yamekuwa yakiandika habari za freemanson, illuminati karibuni kila toleo, tena ukurasa wa mbele sehemu ya chini, binafsi sijaweza kuelewa lengo lao ni nini zaidi ya kuhisi kuwa wanatumiwa na hao members wa hiyo society inayopingana na Mungu na kumwabudu shetani ili kuzidi kuifanya iwe maarufu.
Ifahamike hawa ndio wanaochochea mambo mbali mbali likiwemo suala la ndoa za jinsia moja na kuhakikisha kwamba watu wanapoteza kabisa hofu ya kwamba yupo Mungu.
Ifahamike hawa ndio wanaochochea mambo mbali mbali likiwemo suala la ndoa za jinsia moja na kuhakikisha kwamba watu wanapoteza kabisa hofu ya kwamba yupo Mungu.