Freeman Mbowe, Sugu, Msigwa na Lema

Status
Not open for further replies.
Hata mimi najuta kwa kufungua uzi huu. Yaani ni kama ule msemo wetu wa wahenga, Nyani haoni...


Naumiza macho yangu Kwa kusoma hoja za kipumbavu bhana, hz hoja zingine jf mngekuwa mna remove Tu, maana hazina kichwa wala mackio.
 
Mkuu Mwita Maranya mimi ninachojua bungeni, M23, Tume ya Katiba, Simiyu yetu, njiwa na baba yako ni six in one mkuu. Huyu ndugu ameniongezea wigo tu wa kupata buku 7 kwa siku
 
Last edited by a moderator:
Wewe Hamas nasikia unapakatwa na bosi Wako kabla hujapokea sh. 700 zako pale Lu....ba
 
Mkuu Mwita Maranya mimi ninachojua bungeni, M23, Tume ya Katiba, Simiyu yetu, njiwa na baba yako ni six in one mkuu. Huyu ndugu amejiongezea wigo tu wa kupata buku 7 kwa siku
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaa! Sasa nimejua kwa nini sasa chama kimewashinda, hili ni tatizo la wasomi wao kujiweka chini ili wawaongoze kwa remote. Pole yao yakiwaibukia mambo ndo maana wanatumia mbinu ya makelele mengiiiiiiiiiiiiiiiii. Nawashauri waende shule, mbona Sumaye alienda shule licha ya kufikia hatua ya uwaziri mkuu? alijua hakuwa fit kwa kiti chake!
 
Chadema n km housing ya cm mpya, imefcha machine ya ndani, ila cku itakapo chakaa ndio 2tajua waliomo na wasio kuwemo
 
elimu ni muhimu wakuu tuache ubishi ndugu zangu wanachadema
 
Hebu tucheki kidogo Cv za hawa jamaa kama amabvyo zinanekna kwenye Tovuti ya Bunge.


Kesho nitawaletea Cv za Kigwangalla, Deo filikunjombe, Jafo nk

Usisahau ya Steven Ngonyani
 
Du kumbe hawa jamaa ni vilaza kiasi hiki?Basi CDM ni janga la kitaifa.
 

weka na ya mkeo
 

Hivi Pinda sio doctor?

Mwigulu Nchema anayejinasibu kuwa mchumi namba moja sio doctor?

Ina maana Nnape mpaka leo hii sio doctor?

huu u-doctor uliomo CCM ndio unaimaliza kabisa CCM, bora vilaza waliomo CHADEMA maana mchango wao kwa Taifa ushaanza kuonekana pamoja na ukilaza wao
 
Linapofika swala la elimu ya viongozi wa cdm pro chadema wanakaa gizani wengi watariport thread ifungwe..

Na itafungwa kutokana na biased iliyopo hapa sometimes
 
Gamba mbona wale kina Dr.Nanii na Prof.Nanii bado hawana msaada wowote pumba tu, cha ajabu wanazdiwa ufanisi na hao unaowaona wanaelimu ya kuunga.
 
We elimu yako imekusaidia nn zaidii ya kutegemea buku saba pale lumumba.......... yaani kwa akili yako ndogo unaamini kuwa phd always means phylosophy degree..... zingine ni Pure Head Damage(PHD) km walivo macc wote..... ndo maana tuna rais anayejita msomi na kapewa I dr feki lkn bado ni dhaifi..... ndo maana tuna watu km pinda na elimu yake lkn bado ni wmkuu -------- kuwahi kutokea.......sijawasema kina nepi, mwiguluneti na vikaragosi vingine vya ccm
Akili za kusoma mtandaoni changanya na za kwako
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…