Freeman Mbowe: Rais Magufuli wawajibishe Viongozi na Wasimalizi wa MV. Nyerere

Tunawaonea huruma tu cdm Basi kuongozwa na ze mburula sio vingenevyo, tunataka kupambana na mtu mwenye uwezo utakaotufikirisha na sisi ili tupate changamoto mpya, na mjue tunatoa ela za walipa kodi kuendesha hiko chama chenu
Sio rahisi Kamanda mbowe ni habari nyingine mbona mnahangaika eti ajiuzulu kwanini msimwache apotee kama huyo mrema wa Tlpccm
 
Mbowe si aachie madaraka tu hivi kwa nn anag'ang'ania jamani?
 
Nyie ndiye mnao tamba oooo mimi sina chama… nyoooo… Kujitoa fahamu kuna turudisha nyuma wote….
Kweli hatuna utamaduni wa kuwajibika..
Ingekuwa tuna utamaduni huo,leo mbowe angekuwa kashajiuzulu... Lakini nyani haoni kundule.
Tafakari
 
S
Monduli.. Hai.. kumemchomaaaa na kwingine

💉💉💉💉💉

Usitujue jue wewe mwenyekiti bomu mlafi.. tuache zetu sisi

Wananchi tumewachoka.. na bado

Endeleeni kujifukia na porojo zenu za kuvaa vibwebwe

Eeeeh asinijuejue.. chama cha michambo ya kike.. na kucheza sasa vigodoro huku wakichamba

Leo sema haku mnikomeeee kwa sauti ya Joti akiigiza.. mtaniambia kasema mpasho upi leo..

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wananchi gani tulio wachoka,tumewatimua kijani sio wavaa gwanda
 
Nilitegemea Mbowe angekuja na solution ama maoni mbadala, kumbe naye analalamika. Tena cha kusikitisha anaitumia ajali hiyo kwa political gain. Shame

Serikali inanunuaje vitendea kazi wakati yeye anahamasisha wabunge kugomea bajeti? Huyu mtu kachoka akili.

Apambane na hali yake maana chama kimemfia mkononi bado kuzika tu.

RIP Marehemu wa MV Nyerere, majeruhi wapate nafuu mapema
 
Nilitegemea Mbowe angekuja na solution ama maoni mbadala, kumbe naye analalamika. Tena cha kusikitisha anaitumia ajali hiyo kwa political gain. Shame

Serikali inanunuaje vitendea kazi wakati yeye anahamasisha wabunge kugomea bajeti? Huyu mtu kachoka akili.

Apambane na hali yake maana chama kimemfia mkononi bado kuzika tu.

RIP Marehemu wa MV Nyerere, majeruhi wapate nafuu mapema
TATIZONI KWAMBA MLISHAJIANDAA KUSIKIA MBOWE AKIMJIBU KILAMIA, NDIO MAANA WENGINE MKAANZA KUSEMA ASISAHAU KUONGELEA SUALA LA JANGA LA KIVUKO. SASA BADA YA KUONA KAJIKITA KWENYE JANGA LA KIVUKO MNABADILIKA NA KUJA NA STORY ZA KUWA ANATAFUTA KICK ZA KISIASA
 
Waandishi wa habari mkipewa nafasi ya kuuliza maswali muulize choo cha kujisaidia kiko wapi? kwa sababu kuna taarifa ofisi hiyo haina choo.Mtupigie na picha mtuwekee.Hii yaweza kuwa habari kubwa kwenye magazeti na yakauzika sana.Choo kipo au hakipo? Mwenyekiti tujibu na utuonyeshe tukione hadi ndani.Waandishi changamkieni hilo swali
Hapo Lumumba naona kazi yenu kuu ni kujaza vyoo baada ya kuvimbiwa na kodi zetu!Shubaamit!
 
wekeni mtego tuone wakati wakipewa hizo ahadi na hivyo vitisho kama kweli hayo yapo inamaana haijatoikea mtu akakataa akamwaga ushahidi hadharani kuhusuhizo ahadi alizopewa au vitisho
yule aliyekuwa kinala wa shughuli hiyo alizawadiwa ukuu wa mkoa. kuna lingine tena?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom